Ibrahim Badamasi Babangida

IQNA

IQNA – Rais wa zamani wa Nigeria, Ibrahim Badamasi Babangida, amepongeza kazi ya tarjuma na tafsiri ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Nupe, akiieleza kuwa ni mafanikio makubwa ya kihistoria.
Habari ID: 3482412   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/28